Open hours: 8:00 - 17:00 Mon-Sat


Application Form


Male:
Female:


Particulars Of The Child

Able:
Disabled:











Particulars Of The Person Responsible For Child's Payments




I CONFIRM THAT I SHALL PAY SCHOOL FEES AND OTHER CHARGES AS WELL AS RESPONSIBLY FULFIL ALL OTHER CONDITIONS.





Sheria za shule

  1. Kingereza ni lugha ya mawasiliano kwa hapa shuleni.
  2. Wanafunzi wanatakiwa wafuate ratiba ya shule.
  3. Wanafunzi ni lazima wajue kushukuru na kusali.
  4. Wanafunzi ni lazima watunze vitu vyao na vya shule.
  5. Wanafunzi ni lazima watunze mazingira.
  6. Wanafunzi ni lazima wavae sare za shule kipindi cha masomo, wanaposafiri au wanapotoka nje ya shule.
  7. Wanafunzi ni lazima wakae mbali na maeneo ya jikoni, na maeneo mengine ya hatari.
  8. Wanafunzi hawaruhusiwi kutoka nje ya shule bila ya ruhusa.
  9. Wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na pesa taslimu (Pesa zote za wanafunzi zitatunzwa na Mhasibu).
  10. Wanafunzi hawaruhusiwi kula chakula chochote zaidi ya milo ya shule.
  11. Wanafunzi hawaruhusiwi kutunza chakula chochote mabwenini.
  12. Ni marufuku wavulana kutembelea mabweni ya wasichana, vivyo hivyo kwa wasichana.
  13. Utovu wa nidhamu hauruhusiwi kama vile wizi, kupigana, kupiga kelele, lugha ya matusi n.k
  14. Wazazi au walezi wanaruhusiwa kuwatembelea watoto kila jumamosi ya mwisho wa mwezi.
  15. Nidhamu itasisitizwa kila wakati.


Adhabu



MAKOSA MADOGO MADOGO



NYINGINEZO



MAKOSA MAKUBWA



UONGOZI WA SHULE UNA UWEZO WA KUBADILI MAELEZO/MAHITAJI
YOTE AU BAADHI YA YALIYOPO HAPO JUU INAPOHITAJIKA KWA TAARIFA AU BILA TAARIFA.